Nafasi za kazi Tanzania 2021

To post a job, login or create an account |  Post a Job

Fundi sanifu msaidizi ujenzi daraja la ii

Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

This is a Full-time position in Tanzania posted February 22, 2021.

Fundi sanifu msaidizi ujenzi daraja la ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

POST FUNDI SANIFU MSAIDIZI UJENZI DARAJA LA II – 1 POST

POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-19 2021-03-04
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES |

i.Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba kupaka rangi na kufunga mabomba;

ii.Kuchonga vifaa vya nyumba za Serikali ikiwa ni pamoja na samani; na

iii.Kupangiwa kazi nyingine kutegegemeana na ujuzi, uzoefu na uwezo wa
utendaji mzuri wa kazi na Mamlaka zinazohusika katika fani husika.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE |

Wahitimu wa Kidato cha Nne IV waliofaulu masomo ya Hisabati na Fizikia na
wenye Cheti cha mafunzo ya mwaka mmoja ya fani za ufundi Ujenzi kutoka
katika vyuo vinavyotambuliwa na serikali.

REMUNERATION TGS B

Login to Apply
Please see how to apply below

Apply Online NowURL:: Link to Apply

Fundi sanifu msaidizi ujenzi daraja la ii Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

Thanks for visiting Mkaguzi Blog

How to Apply