Halmashauri ya Wilaya ya Njombe
Fundi sanifu msaidizi ujenzi daraja la ii(re-advertised) Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya
POST FUNDI SANIFU MSAIDIZI UJENZI DARAJA LA IIRE-ADVERTISED – 1 POST
POST CATEGORYS ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Njombe
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-19 2021-03-04
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
i.Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba kupaka rangi na kufunga mabomba;
ii.Kuchonga vifaa vya nyumba za serikali ikiwa ni pamoja na samani
“furniture”;
iii.Mafundi Sanifu watapangiwa kazi na Mamlaka zinazohusika katika fani zao
kutegegemea cheo, ujuzi, uzoefu na uwezo wao na utendaji mzuri wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE |
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne IV katika masomo ya sayansi na kufuzu
mafunzo ya mwaka mmoja ya fani za ufundi ujenzi kutoka katika vyuo
vinavyotambuliwa na serikali
REMUNERATION TGS B
Login to Apply
Please see how to apply below
URL:: Link to Apply
Fundi sanifu msaidizi ujenzi daraja la ii(re-advertised) Jobs in Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Tanzania vacancies in Tanzania at Halmashauri ya Wilaya ya
Thanks for visiting Mkaguzi Blog