Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA)
Mhifadhi wanyamapori daraja ii Jobs in Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanzania Wildlife Management Authorit
POST MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA II – 1 POST
POST CATEGORYS TOURISM AND TRAVEL
EMPLOYER Tanzania Wildlife Management Authority TAWA
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-19 2021-03-04
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
i.Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi na mbuga za wanyamapori;
ii.Kusimamia utekelezaji wa taratibu za uwindaji na utalii;
iii.Kutekeleza kazi za maendeleo katika Mapori ya Akiba;
iv.Kuhakiki ulinzi wa nyara za Serikali;
v.Kuhakiki vifaa vya doria;
vi.Kudhibiti usafirishaji wa wanyamapori na nyara nje na ndani ya nchi;
vii.Kudhibiti matumizi ya magari ya doria;
viii.Kuratibu uingiaji wa wageni katika Mapori ya Akiba;
ix.Kusimamia uwindaji wa kitalii;
x.Kudhibiti na kusimamia umilikaji wa nyara;
xi.Kuweka mikakati ya kudhibiti moto mkali; na
xii.Kukusanya takwimu za wanyamapori na mimea.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE |
Wahitimu wa Kidato cha IV au Kidato cha VI, wenye Stashahada ya Uhifadhi wa
Wanyamapori kutoka Mweka au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C
Login to Apply
Please see how to apply below
URL:: Link to Apply
Mhifadhi wanyamapori daraja ii Jobs in Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA) Tanzania vacancies in Tanzania at Tanzania Wildlife Management Authorit
Thanks for visiting Mkaguzi Blog